EWURA imetangaza Bei Kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli zilizoanza kutumika hapa nchini kuanzia Jumatano ya tarehe 5 Februari, 2025, saa 6:01 usiku.
Wafanyabiashara wa rejareja na jumla wanatakiwa kuuza mafuta kwa bei zilizoidhinishwa na EWURA pekee na yeyote atakayekiuka AGIZO hili atachukuliwa hatua kali kwa mujibu wa sheria.
Tags
Biashara