Simba imebanwa mbavu na Fountain Gate na kulazimishwa sare ya 1-1.
Katika mechi hiyo iliyopigwa katika Dimba la Tanzanite Kwaraa Babati mkoani Manyara.
Simba ndiyo iliyokuwa ya kwanza kuandika bao la kwanza kabla ya kufanya makosa ya kujifunga dakika chache baadae na hivyo kufanya mchezo huo kumalizika kwa suluhu.
Ahmedabad
Tags
Michezo Kitaifa