ZoyaPatel

Yanga SC washindwa kutamba mbele ya JKT Tanzania

SohaniSharma


Dakika 90 za mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) kwa mchezo wa JKT Tanzania dhidi ya Yanga umemalizika kwa timu zote kutofanikiwa kuliona lango la mwenzake, mchezo uliopigwa Uwanja wa Meja Generali Isamuhyo.

Matokeo hayo yanaifanya Yanga kuendelea
kuwa kileleni mwa Ligi hiyo kwa alama 46 mbele ya watani wao Simba SC ambao wana alama 44, hivyo kuifanya kuwa mbelw kwa alama 2.

JKT Tanzania wao wanakuwa nafasi ya 9 wakiwa na alama 20.



Ahmedabad
Hyderabad
Previous Post Bangalore Next Post

نموذج الاتصال