Taarifa hiyo imetolewa na
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mwana FA katika
tukio la All-Star Comedy Festival, lilofanyika Mlimani City.
Baadhi ya
mastaa wa uchekeshaji waliotokea All Star Comedy Festival ni Coy Mzungu,
Leonardo, Ndaro, Shafii Brand,SaidSaid, Kipotoshi, Nanga OG, Masantula na
Eliud.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi wa tuzo za
wachekeshaji Tanzania 'Tanzania Comedy Awards' siku ya February 22,2025 ukumbi
wa The Super Dome Masaki Dar es Salaam.
Ahmedabad
Tags
Kitaifa